Loading...
 

Taarifa za Hakimiliki

 

Usitoe au kubadilisha taarifa hii ya hakimiliki.

Taarifa za Hakimiliki

 

Mwongozo wa Agora Speakers ni Hakimiliki © 2018-2021 Alexander Hristov, Shirika la Agora Speakers International. http://www.agoraspeakers.org

Toleo jipya linaweza kupakuliwa kutoka: /Mwongozo+wa+Agora

Kazi hii inaweza kutolewa leseni chini ya Creative Commons Attribution-NoDerivatives 4.0 International License (CC BY-ND 4.0)

CC BY ND

 

Huu ni muhtasari wa leseni ambao unasomeka na binadamu (na sio mbadala wake)

Muundo huu ambao unaweza kusomeka na binadamu unaonyesha tu baadhi ya vipengele muhimu na masharti ya leseni halisi. Sio leseni na haina thamani kisheria. Unatakiwa kuangalia vigezo na masharti yote vya leseni yenyewe kwa umakini kabla ya kutumia nyenzo yenye leseni. Katika hali ya mgogoro kati ya tafsiri na toleo la Kiingereza ya Leseni ya Hakimiliki, toleo la Kiingereza litatumiwa.

Una uhuru wa:


    Sambaza — piga chapa na sambaza tena nyenzo kwenye njia au mfumo wowote kwa dhumuni lolote, hata la kibiashara. 

    Mtoa leseni hawezi kuondoa uhuru huu ili mradi unafuata masharti ya leseni.

Chini ya masharti yafuatayo:

 

Attribution Icon Blue X2

Sifa — Unatakiwa kutoa utambuzi unaofaa, toa kiunganishi cha leseni, na onesha kama kuna mabadiliko ambayo yamefanywa. Unaweza kufanya hivyo kwa namna inayofaa, lakini sio kwa namna yoyote inayopendekeza kuwa mtoa leseni amekuidhinisha wewe au matumizi yako.

 

 

Nd Blue X2

 

Hamna Kubabilishwa — Kama ukichanganya, geuza, au unda nyenzo nyingine, hauwezi kusambaza nyenzo ambazo zimebadilishwa.

 

 

Hamna vizuizi vya nyongeza — Hauwezi kutumia masharti ya kisheria au kiteknolojia ambayo yanazuia kisheria wengine kufanya chochote leseni inayoruhusu.

Taarifa:

Hauhitaji kutii leseni ya vipengele vya nyenzo kwenye matumizi ya umma au pale ambapo matumizi yako yanaruhusiwa kwa kasoro au kizuizi kinachotumika.

Hamna waranti ambazo zinatolewa. Leseni inaweza isikupe ruhusa zote muhimu kwa ajili ya matumizi yaliyokusudiwa. Kwa mfano, haki zingine kama vile uenezaji, faragha, au haki za kimaadili zinaweza zikazuia jinsi unavyotumia nyenzo.

Tafsiri kwenda Kiswahili

Tafsiri hii kutoka toleo la Kiingereza kwenda Kiswahili imefanywa na Zahra AK. Katika hali ya mgogoro au utofauti, maudhui na miongozo ya toleo la Kiingereza itatumiwa.


Contributors to this page: zahra.ak and agora .
Page last modified on Monday January 3, 2022 07:58:35 CET by zahra.ak.